Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akifungua bonda la maji katika kijiji cha Lipaya kilichopo Kata ya Mpitimbi Halmashauri ya Wilaya ya Songea wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ujenzi wa mradi wa maji wa kijiji cha Lipaya ambao umegharimu kiasi cha fedha shilingi bilioni 1.9 na utekelezaji wa miradi umefikia asimilia 97.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.