Mkoa wa Ruvuma wang’ara kwa ufaulu wa asilimia 100 kwenye Kidato cha Sita 2025!
Mkoa wa Ruvuma umeweka rekodi ya kipekee kitaifa baada ya watahiniwa wote wa Kidato cha Sita kufaulu kwa asilimia 100
Daraja la Kwanza – 2758
Daraja la Pili – 2124
Daraja la Tatu – 372
Daraja la Nne – 1
Hakuna mwanafunzi aliyefeli!
Mkuu wa Mkoa, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, amepongeza juhudi za walimu, wanafunzi, wazazi na viongozi wote wa elimu kwa mafanikio haya makubwa yanayoiweka Ruvuma kwenye ramani ya mafanikio ya elimu nchini!
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.