KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM ikiongozwa na Mwenyekiti wake Odo Mwisho imekagua eneo ambalo itajengwa shule maalum ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma katika eneo la Madaba wilayani Songea.Mjumbe wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema Halmashauri imetenga eneo lenye ukubwa wa hekari 15 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa shule hiyo ambayo itachukuwa wanafunzi wasichana wa kuanzia kidato cha kwanza hadi ch sita na kwamba shule hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya mimba za utotoni hasa kwa wanafunzi wa sekondari.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=XmBrmVeKSYQ
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.