Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imetembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa katika kijiji cha Parangu Kata ya Parangu Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 200 kuanza kutekeleza mradi huo unaounganisha kata za Parangu,Maposeni na Peramiho.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.