Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile amewashauri wananchi wilayani humo kutawachagua viongozi wa vijiji wanaowatilia mashaka wakiwemo wale ambao wanaruhusu wafugaji holela kuingiza mifugo kwa kuwauzia ardhi kinyume cha sheria. Kapenjama alikuwa anajibu kero za wananachi wa Kata ya Wino Halmashauri ya Madaba kwenye mkutano uliofanyika kijiji cha Lilondo ambapo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas aliitisha mkutano huo ili kusikiliza kero za wananchi .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.