KARIBU kutembelea Mlima Matogoro ambao umesheeni vivutio lukuki ambavyo vipo kwenye Mlima huo uliopo Manispaa ya Songea Mkoani
Miongoni mwa vivutio hivyo ni Pango ambalo lilitumika kujificha na kuhifadhia silaha kipindi cha vita vya Majimaji na hadi sasa utumika kama sehemu ya kufanyia shughuli za kimila pia watalii uvutiwa na historia ya pango hilo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.