NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju amemwakilisha Waziri wa Katiba na Sheria kwenye uzinduzi wa zoezi la usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano mkoani Ruvuma.Zoezi hilo limeanza tangu Machi 20,2020 ambapo katika Mkoa mzima watoto zaidi ya 242,000 wanatarajia kupata vyeti vya kuzaliwa bure.
SOMA habari kwa kina hapa TAARIFA ya usajili wa watoto kupata vyeti vya kuzaliwa mkoani Ruvuma.pdf
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.