Mkuu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Mheshimiwa Aziza Ally Mangosongo akipanda mti ishara ya utunzaji wa mazingira shule ya Msingi Paradiso ambapo kwa mwaka huu Mkoa wa Ruvuma umedhamiria kupanda miti zaidi ya milioni nne hadi kufikia Aprili mwaka huu.Picha ya chini ni baadhi ya wanafunzi wa shule msingi Paradiso wakishiriki kwa vitendo upandaji miti ya matunda,kampeni ambayo inafanyika kila mwezi tarehe 19 kwenye shule za msingi,sekondari vyuo na Taasisi za serikali kuhakikisha wanapanda miti ya matunda
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.