RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,Samia Suluhu Hassan ametoa fedha kiasi cha shilingi milioni 701 katika kijiji cha Wino Kata ya Wino Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma Madaba kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya elimu na TASAF
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Sajidu Idrisa Mohamed akizungumza na wananchi wa Kata ya Wino amesema serikali pia imetoa shilingi milioni 560 kupitia Program ya Kuboresha Elimu ya Sekondari SEQUIP. kujenga shule mpya ya sekondari Lilondo Kata ya Wino ambayo imekamilika na kuanzia kuchukua wanafunzi kuanzia mwaka huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.