Tarehe 12 Januari chini ya miezi minne iliyopita - virusi vya corona vilikuwa ndani ya Uchina pekee. Hapakuwa na mgonjwa hata mmoja aliyekuwa amepatikana nje ya nchi hiyo ambayo virusi hivyo vilianzia.Siku moja mbele yaani Januari 13, virusi hivyo vikaanza kuwa tatizo la dunia. Mgonjwa wa kwanza alirekodiwa Thailand kisha Japani, Korea Kusini zikafuatia haraka.SOMA HABARI zaidi hapa https://www.bbc.com/swahili/habari-52151551
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.