TAARIFA YA KIKAO CHA BARAZA LA USHAURI MKOA WA RUVUMA(RCC) DESEMBA 2022.doc .
6.1.1 SEKTA YA KILIMO
Mkoa wa Ruvuma una fursa ya kupata mvua nyingi, ardhi nzuri inayofaa kwa kilimo na inayokubali kuzalisha takribani mazao aina zote. Mazao ya chakula yanayolimwa ni Mahindi, Mpunga, Muhogo, Maharage, Mtama, Ulezi, Mbaazi na Viazi Vitamu. Mazao ya biashara ni Tumbaku, Kahawa, Korosho, Ufuta, Soya, Alizeti, Tangawizi, Mbaazi na Karanga. Mazao ya bustani ni pamoja na Parachichi, Embe, Machungwa, Matikiti, Ndizi, Papai na Mbogamboga. Hekta 4,007,746 zinafaa kwa kilimo, hadi sasa eneo linalolimwa ni wastani wa hekta 583,279 sawa na asilimia 15 ya eneo lote, na kufanya Mkoa kuwa na ziada ya hekta 3,424,467 sawa na asilimia 85. Aidha, Mkoa wa Ruvuma umeendelea kuwa mzalishaji mkubwa wa zao la mahindi ambalo linategemewa kwa ajili ya usalama wa chakula.
6.1.1.1 Utekelezaji wa Shughuli za Kilimo kwa Msimu wa Mwaka 2021/2022
Mipango na Malengo ya Kilimo Msimu wa 2021/2022
Katika msimu wa kilimo wa mwaka 2021/2022 Mkoa ulilenga kulima jumla ya hekta 651,157 za mazao ya chakula, biashara na mazao ya bustani zilizotarajiwa kutoa mavuno ya tani 1,785,500. Kati ya hekta hizo kilimo cha mazao ya chakula ni hekta 522,396 zilizotarajiwa kutoa mavuno ya tani 1,458,462 na kilimo cha mazao ya biashara ni hekta 116,150 zilizotarajiwa kutoa mavuno ya tani 84,509. Kwa mazao ya bustani hekta 12,611 zilizotarajiwa kutoa mavuno ya tani 242,529.
Utekelezaji wa Malengo ya Kilimo Msimu wa 2021/2022
Kufikia mwezi Juni, 2022 Mkoa ulikwishalima hekta 583,279 za mazao ya chakula, biashara na mazao ya bustani sawa na asilimia 89.56 ya lengo ambazo zimetoa mavuno ya tani 1, 541,659 sawa na asilimia 86.34 ya lengo la mavuno. Kwa upande wa mazao ya chakula hekta 442,014 zililimwa ambazo zimetoa mavuno ya tani
1,256,362 na katika kilimo cha mazao ya biashara hekta zilizolimwa ni 127,418 ambazo zimetoa jumla ya tani 101,059. Aidha kwa upande wa mazao ya bustani hekta 13,848 zililimwa na kutoa mavuno ya Tani 184,238
6.1.1.2. Mipango na Malengo ya Kilimo Msimu wa 2022/2023
Katika msimu wa kilimo wa mwaka 2022/2023 Mkoa umelenga kulima jumla ya hekta 930,082 za mazao ya chakula, biashara na Mazao ya bustani zinazotarajiwa kutoa mavuno ya tani 1,965,072. Kati ya hekta hizo kilimo cha mazao ya chakula ni hekta 569,070 zinazotarajiwa kutoa mavuno ya tani 1,638,808 na kilimo cha mazao ya biashara ni hekta 337,572 zinazotarajiwa kutoa mavuno ya tani 102,379 Kwa mazao ya bustani hekta 23,399 zinazotarajiwa kutoa mavuno ya tani 223,886.
Jedwali Na.11: Malengo ya Kilimo kwa Kila Halmashauri
Halmashauri
|
Malengo ya Kilimo msimu wa 2022/2023 |
|||||||
Mazao ya Chakula |
Mazao ya Biashara |
Mazao ya Bustani |
Jumla Kuu |
|||||
hekta
|
tani
|
hekta
|
tani
|
hekta
|
tani
|
hekta
|
tani
|
|
Songea DC
|
124,205
|
419,266
|
17,479
|
11,069
|
8,217
|
126,939
|
149,901.00
|
557,273.60
|
Songea MC
|
21,901
|
79,219
|
1,087
|
1,945
|
1,385
|
22,901
|
24,372.50
|
104,065.00
|
Madaba
|
64,901
|
229,530
|
2,879
|
8,889
|
1,468
|
33,747
|
69,247.90
|
272,165.79
|
Mbinga DC
|
91,643
|
223,192
|
30,307
|
14,679
|
1,877
|
25,567
|
123,826.58
|
263,438.57
|
Mbinga TC
|
57,434
|
106,017
|
13,627
|
4,676
|
8,611
|
876
|
79,672.00
|
111,568.60
|
Nyasa DC
|
96,097
|
280,659
|
13,259
|
6,210
|
1,197
|
8,406
|
110,553.00
|
295,274.44
|
Namtumbo DC
|
43,201
|
144,402
|
15,816
|
12,490
|
241
|
1,997
|
59,258.00
|
158,889.40
|
Tunduru DC
|
69,690
|
156,523
|
243,118
|
42,421
|
403
|
3,453
|
313,210.56
|
202,397.07
|
Jumla ya Mkoa
|
569,070
|
1,638,808
|
337,572
|
102,379
|
23,399
|
223,886
|
930,041.54
|
1,965,072.46
|
6.1.1.3 Hali ya Upatikanaji wa Chakula
Hali ya usalama wa chakula kwa Mkoa wa Ruvuma ni nzuri kwa kiwango cha utoshelevu na ziada kwa zaidi ya miaka kumi na mbili (12) mfululizo. Chakula kilichozalishwa katika msimu 2021/2022 kinatumika kwa msimu huu 2022/2023 ambapo mazao ya chakula zilizalishwa tani 1,256,362 na mahitaji ya chakula ndani ya Mkoa kwa msimu 2022/2023 ni tani 469,172 na kuufanya Mkoa kuwa na ziada ya chakula tani 787,190 ambazo zimeendelea kuuzwa kwa lengo la kuwaongezea wananchi kipato
6.1.1.4 Upatikanaji wa Mbolea kwa Msimu wa 2021/2022 na Mfumo wa Ruzuku ya Mbolea Msimu wa 2022/2023
Katika msimu 2021/2022 jumla ya tani 33,501.07 za mbolea ziliingia katika Mkoa kupitia makampuni na mawakala wa mbolea ambao ni Premium, Export Trading, Afrisian, DRTC, Minjingu, STACO, YARA na Mohamed Entreprises. Mahitaji ya mbolea za aina zote kwa Mkoa ni Jumla ya tani 50,524.50. Aidha, Hali ya upatikanaji wa mbolea ilikuwa ya kuridhisha, kiasi cha mbolea kilichosambazwa katika Mkoa wa Ruvuma ni tani 30,374.21 sawa na asilimia 76.98 ya mbolea zilizoingia.
Jedwali Na 12. Gharama ya mbolea kwa mfuko wa kilo 50 kwa msimu wa mwaka 2021/2022 sokoni.
Mbolea
|
UREA
|
SA
|
CAN
|
DAP
|
Bei
|
126,000
|
84,000.00
|
110,000.00
|
132.000.00
|
Kutokana na kupanda kwa bei ya mbolea, zipo changamoto za uzalishaji zilizo jitokeza hususani baadhi ya Wakulima kushindwa kumudu gharama za mbolea, hali hii ilipelekea wakulima kulima pasipo kutumia mbolea za viwandani.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Katika usajili wa wakulima utaratibu unaotumika katika usajili ni kama ifuatavyo;
Wakulima waliosajiliwa tangu zoezi la usajili lilipoanza tarehe 15 Agosti 2022 kupitia vitabu ni wakulima 225,623.00 kati ya hao 115,931.00 wameshaingizwa kwenye mfumo na wameanza kupata mbolea.
NA |
Halmashauri
|
Idadi ya Vitabu |
Malengo ya kuandikisha |
Idadi ya Wakulima walioandikishwa kwenye Vitabu |
Idadi ya Wakulima waliosajiliwa kwenye Mfumo |
1 |
Songea DC
|
130 |
46,000 |
38,752.00 |
10,256.00 |
2 |
Songea MC
|
110 |
32,500 |
18,622.00 |
16,721.00 |
3 |
Madaba
|
160 |
26,196 |
20,100.00 |
14,500.00 |
4 |
Namtumbo
|
210 |
77,947 |
50,990.00 |
33,894.00 |
5 |
Tunduru
|
250 |
128,421 |
27,000.00 |
1,570.00 |
6 |
Nyasa
|
170 |
29,224 |
17,158.00 |
13,886.00 |
7 |
Mbinga DC
|
330 |
65,000 |
38,301.00 |
19,744.00 |
8 |
Mbinga TC
|
170 |
23,000 |
14,700.00 |
5,360.00 |
Jumla ya Mkoa
|
1,530.00 |
428,288.00 |
225,623.00 |
115,931.00 |
Jedwali Na 14. Idadi ya Wakulima
Baada ya mkulima kusajiliwa katika kitabu taarifa zake zinapandishwa/kuingizwa kwenye mfumo, mara baada ya taarifa za mkulima kuingizwa kwenye mfumo, mkulima anapata namba kupitia meseji. Namba hiyo ndio itakayotumika katika kununulia mbolea za ruzuku kwa Wakala. Jedwali namba 4 linaonesha Idadi ya Wakulima waliosajiliwa.
Mkoa wa Ruvuma una jumla ya hekta 197,108.2 zinafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na hekta 7,388.3 zimeendelezwa,hii ni sawa na asimilia 3.7.
6.1.1.8 Kilimo cha Umwagiliaji
Na
|
SONGEA DC
|
SONGEA MC
|
MADABA
|
MBINGA DC
|
MBINGA TC
|
NYASA
|
NAMTUMBO
|
TUNDURU
|
1 |
Kilagano
|
Kihekwa
|
Igawisenga
|
Lukarasi
|
Ruvuma Chini
|
Kwambe
|
Mawa
|
Nalasi
|
2 |
Mpandangindo
|
Nangwahi
|
Lilondo
|
Mkako
|
Masimeli
|
Litoromelo
|
Msindo
|
Masugulu
|
3 |
Litapwasi
|
Sinai
|
Matetereka
|
Kigonsera
|
Kihungu
|
Mbaha
|
Nambalama
|
Makande
|
4 |
Lusonga
|
Mwanamonga
|
Mahanje
|
Mihango
|
Utiri
|
Nkaya
|
Msisima
|
Nandembo
|
5 |
Litisha
|
Liwumbu
|
Kipingo
|
Amani Makolo
|
Sepukila
|
Ngingama
|
Nahoro
|
Mchuluka
|
6 |
Parangu
|
Mdundiko
|
Mkongotema
|
Lipumba
|
Makatani
|
Kingerikiti
|
Libango
|
Pacha Nne
|
7 |
Ndongosi
|
Masigira
|
Gumbiro
|
Muhongozi
|
Ukomo
|
Mawasiliano
|
Likuyu Mfuate
|
Chingulungulu
|
8 |
Magagura
|
Mlete
|
Ngadinda
|
Mbuji
|
Myangayanga
|
Lumeme
|
Mtumbatimaji
|
Nakapanya
|
9 |
Kikunja
|
Mhombezi
|
Mtyangimbole
|
Kibanga
|
Luwaita
|
Kikole
|
Kitanda
|
Kitanda
|
10 |
Maposeni
|
Ndilimalitembo
|
Luhimba
|
Kihereketi
|
Mateka
|
Malungu
|
Namanguli
|
Uwanja wa Ndege
|
11 |
Mpitimbi
|
|
|
Likwela
|
|
|
Mkongo Gulioni
|
Masonya
|
12 |
Lilahi
|
|
|
Kitesa
|
|
|
Njomlole
|
Matemanga
|
13 |
Peramiho B
|
|
|
Matekela
|
|
|
Namali
|
Hulia
|
14 |
Muunganozomba
|
|
|
Mkuka
|
|
|
Ligunga
|
Kidodoma
|
15 |
Lugagara
|
|
|
Maguhu
|
|
|
Magazini
|
Mkonda
|
|
15
|
10
|
10
|
15
|
10
|
10
|
15
|
15
|
Jedwali Na. 16: Vijiji vilivyochaguliwa katika kila Halmashauri
Uchaguzi wa vijiji hivi ulizingatia maeneo yenye uzalishaji mkubwa, aina ya mazao yanayolimwa na uwakilishi mzuri wa maeneo haya kwa aina ya udongo na jiografia ya maeneo hayo. Mpaka sasa upimaji umeshafanyika na matokeo ya vijiji husika yameshawasilishwa kwenye hivyo vijiji, na kinachofuata ni kusubiri taarifa ya kimkoa ambayo inaandaliwa na wataalam wa afya ya udongo kutoka kituo cha utafiti Uyole (TARI-Uyole) ambapo taarifa hii itawasilishwa kwa wadau wote wa mkoa ikihusisha hali ya afya ya udongo kwenye maeneo yetu na mapendekezo sahihi ya matumizi ya mbolea.
Mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo kupitia taasisi yake ya TARI Uyole na Kampuni ya OCP ilitoa taarifa ya hali ya Afya ya udongo ya Mkoa wa Ruvuma kuwa unaumwa na unahitaji matibabu. Sababu kubwa ya udongo kufikia hatua hii ni kutokana na kuwepo kwa matumizi makubwa ya Pembejeo hususani mbolea pasipo kupima afya ya udongo na kuutibia. Hivyo Kampuni ya OCP iliamua kuwezesha gharama za upimaji wa Afya ya Udongo katika vijiji 100 vya mkoa wa Ruvuma (Jedwali Na.16) ambapo zoezi la kuainishaji vijiji vitakavyowakilisha udongo wa Mkoa mzima ulifanyika kwa kushirikiana na maafisa kilimo, umwagiliaji na ushirika wa kila Halmashauri
6.1.1.7 Afya ya Udongo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan alitoa pikipiki 7000 kwa maafisa ugani wa Kata na Vijiji kwa nchi nzima ambapo katika Mkoa wetu wa Ruvuma tulipata mgao wa pikipiki 281, hivyo maafisa ugani wote wa Kata na Vijiji waliopo katika Mkoa wa Ruvuma kila mmoja alipata pikipiki moja. Aidha tunatarajia kupata seti moja ya vifaa vya kutolea Huduma za Ugani.
6.1.1.6 Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani
Mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo kupitia Idara ya huduma za ugani na taasisi ya utafiti wa mazao TARI Naliendele na Uyole walitoa Mafunzo kwa maafisa ugani 281 wa Halmashauri za Songea DC, Songea MC, Namtumbo, Madaba, Tunduru, Mbinga DC, Mbinga TC na Nyasa za Mkoa wa Ruvuma. Mafunzo haya yalilenga kuwajengea uwezo Maafisa Ugani wanaosimamia mazao ya Soya, Alizeti, Ufuta, Korosho na Mahindi.
6.1.1.5 Mafunzo kwa Maafisa Ugani
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Mkoa una skimu 102 kati ya hizo skimu 42 zimeboreshwa skimu 23 zinafanya kazi na 19 hazifanyi kazi. Skimu 23 zinazofanya kazi zina ukubwa uliogawanyika katika makundi mawili, eneo lote linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji hekta 5,420 na eneo linalomwagiliwa lenye ukubwa wa hekta 1,182 kama (Jedwali Na.17) kinavyoonesha ambapo uzalishaji wake ni kati ya magunia ya mpunga 25 hadi 40 kwa ekari, kiasi hiki cha uzalishaji kinaridhisha kwani husababisha mkoa kupata zaidi ya tani 15,930 za mpunga kwa msimu.
Halmashauri
|
Songea MC |
Songea DC |
Tunduru DC |
Namtumbo DC |
Nyasa DC |
Mbinga DC |
Mbinga TC |
Madaba DC |
Skimu za Umwagiliaji
|
2 |
7 |
7 |
14 |
6 |
3 |
0 |
3 |
Jedwali Na 19. Idadi ya Skimu za Umwagiliaji Zilizoboreshwa Kwa Kila Halmashauri
Jedwali Na.18: Skimu Za Umwagiliaji Zisizofanya Kazi
Jedwali Na.17: Skimu Za Umwagiliaji Zinazofanya Kazi
Mkoa wa Ruvuma una jumla ya skimu 19 ambazo hazifanyi kazi zenye ukubwa uliogawanyika katika makundi mawili eneo lote linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji lenye ukubwa wa hekta 3,844 na eneo linalomwagilia lenye ukubwa wa hekta 1110 kutokana na miundombinu iliyokuwa imejengwa hapo awali kuathirika na mafuliko katika kipindi cha msimu wa mvua kwa mwaka 2019/20, lakini pia katika orodha hiyo baadhi ya skimu hazijajengwa kabisa kutokana na serikali kutoelekeza fedha hizo kama ilivyokuwa imepangwa katika bajeti. (Jedwali Na.18).
Na.
|
Scheme Name
|
Name of IO
|
Controll Number
|
REG. NO
|
Reg. Datea
|
Wilaya
|
1.
|
Namatuhi
|
Umoja wa Umwagiliaji Namatuhi
|
995780000976
|
NO. 081
|
10-May-18
|
Songea Vijijini
|
2.
|
Njoka
|
Umoja wa Umwagiliaji Njoka
|
995780000975
|
|
|
Songea Vijijini
|
3.
|
Madaba
|
Chama cha Umwagiliaji Madaba
|
995780001105
|
No. 226
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
4.
|
Misyaje
|
Chama cha Wakulima Misyaje
|
995780001106
|
NO. 227
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
5.
|
Machemba
|
Chama cha Wakulima Machemba
|
995780001104
|
NO. 228
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
6.
|
Mdabwa
|
Chama cha Wakulima Mdabwa
|
995780001107
|
NO. 229
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
7.
|
Chinunje
|
Skimu ya Chinunje
|
995780001093
|
NO. 230
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
8.
|
Kitanda-Tunduru
|
Skimu ya Kitanda
|
995780001043
|
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
9.
|
Masonya
|
Umoja wa Wakulima Masonya
|
995780001033
|
NO. 232
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
10.
|
Nambalapi
|
Skimu ya Nambalapi
|
995780001034
|
NO. 244
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
11.
|
Mkalekawana
|
Skimu ya Mkalekawana
|
995780001035
|
NO. 242
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
12.
|
Legezamwendo
|
Skimu ya Legezamwendo
|
995780001095
|
NO. 234
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
13.
|
Lekindo
|
Skimu ya Lekindo
|
995780001096
|
NO. 233
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
14.
|
Mbati
|
Skimu ya Mbati
|
995780001094
|
NO. 243
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
15.
|
Kangomba
|
Skimu ya kangomba
|
995780001188
|
NO. 235
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
16.
|
Mtonya
|
Skimu ya Mtonya
|
995780001187
|
NO. 236
|
19-November,2021
|
Namtumbo
|
17.
|
Naikula
|
Skimu ya Naikula
|
995780001197
|
NO. 237
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
18.
|
Mchengamoto
|
Skimu ya Mchengamoto
|
995780001198
|
NO. 238
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
19.
|
Nyomboka
|
Chama cha Umwagiliaji Nyomboka
|
995780001225
|
NO. 239
|
19-November,2021
|
Nyasa
|
20.
|
Lundo
|
Chama cha Umwagiliaji Lundo
|
995780001224
|
No. 240
|
19-November,2021
|
Nyasa
|
21.
|
Mnkalachi
|
Chama cha Umwagiliaji Mnkalachi
|
995780001226
|
No. 241
|
19-November,2021
|
Nyasa
|
22.
|
Lipupuma
|
Chama cha Umwagiliaji Lipupuma
|
99578000956
|
|
19-November,2021
|
Namtumbo
|
23.
|
Njomlole
|
Chama cha Umwagiliaji Njomlole
|
|
|
19-November,2021
|
Namtumbo
|
24.
|
Nasya
|
Chama cha Umwagiliaji Nasya
|
99578000977
|
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
25.
|
Naluwale
|
Chama cha Umwagiliaji Naluwale
|
|
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
26.
|
Mkatamo
|
Chama cha Umwagiliaji Mkotamo
|
99578000979
|
|
19-November,2021
|
Tunduru
|
27.
|
Luhimbalilo
|
Chama cha umwagiliaji Luhimbalilo
|
99578000955
|
|
19-November,2021
|
Namtumbo
|
28.
|
Kitanda-Tunduru
|
Chama cha umwagili
Matangazo
Habari Mpya
VideoTovuti MuhimuWaliotembelea KijiografiaWaliotembeleaRamani ya EneoWasiliana nasiRegional Commissioner Office Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA. Simu: 0252602256 Simu ya Mkononi: 0252602256 Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved. |