Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na nchi ya India inakwenda kutekeleza mradi mkubwa wa maji ambao utafanya matatizo ya maji katika mji wa Songea kubakia historia
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.