Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa rai kwa wadau wa sheria nchini kutoa huduma mjini na vijijini.Mndeme ametoa rai hiyo wakati anazungumza kwenye kilele cha wiki ya sheria nchini.Tazama habari kwa kina kuhusu maadhimisho haya ambayo mahakama imetimiza miaka 100 tangu kuanzishwa kwake hapa nchini,TAZAMA hapa https://www.youtube.com/watch?v=3UrK5kr6fps
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.