Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amemaliza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma kwa kukagua ukarabati wa kiwanja cha ndege Songea ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 37 kukkarabati kiwanja hicho ambacho ndege ya kwanza ya ATCL inatarajia kutua Januari 15 mwaka huu.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=_A2s522i2sM
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.