Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Ruvuma Ndugu Jeremiah Sendoro akiwa katika Banda la Mkoa wa Ruvuma kwenye Maonesho ya Utalii Karibu Kusini kwenye viwanja vya Kihesa kilolo mjini Iringa.
Ukifika kwenye banda hilo unapata taarifa zote za Uwekezaji na vivutio vya utalii vinavyopatikana mkoani Ruvuma.
Maonesho ya mwaka huu yanayoshirikisha mikoa kumi yalifunguliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Septemba 23 na kilele chake ni Septemba 27,2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.