Miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imeshuhudia utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote katika ziwa Nyasa eneo la Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma unaogharimu zaidi uya shilingi bilioni 81.Jiwe la msingi la mradi huu liliwekwa na Rais Samia Septemba 2024 mjini Mbambabay.
Picha ya chini ni muonekano wa mradi wa ujenzi wa bandari ya Mbambabay utakapokamilika kwa asilimia100
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.