Barabara ya lami nzito inayounganisha wilaya za Mbinga hadi Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma yenye urefu wa kilometa 66 ambayo iliyogharimu zaidi ya shilingi bilioni 129 imegeuka kivutio cha utalii kwa wageni wengi wanaosafiri kupitia barabara hiyo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.