BARAZA jipya la madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma limeapishwa na kuanza kazi rasmi ya kuwatumikia wananchi.Mwenyekiti mpya wa Halmashauri hiyo Menas Komba mara baada ya kula kiapo na kupitishwa na madiwani hao ametaja vipaumbele vyake ili kuhakikisha lkuwa wanafikia azima ya kuwatumikia wanancni na kupata maendeleo endelevu katika nyanja mbalimbali.,Huku Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea Pendo Ndumbaro akitoa rai kwa madiwani kufanya maamuzi kwa kuzingatia kanuni na taratibu ili kuepuka migogoro.
TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=4nK31cU1Uxk&t=34s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.