SHULE ya sekondari ya Namabengo iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma imepokea shilingi milioni 441 kupitia BARICK kuboresha miundombinu ya shule hiyo.
Akitoa taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa mradi huo kwa sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma,Mkuu wa sekondari ya Namabengo ameitaja miundombinu inayojengwa kuwa ni mabweni mawili,madarasa saba na matundu ya vyoo kumi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.