BEET ROOT ni mmea wenye uwezo wa kuongeza damu ndani ya saa 24,pia mmea huo una uwezo wa kwa wenye matatizo ya magonjwa kama kisukari,moyo,kansa na figo umekuwa kivutio katika maonesho ya nane nane Mkoa wa Ruvuma yanafanyika kwenye viwanja vya nane nane Msamala Manispaa ya Songea.Uzinduzi wa maonesho hayo unatarajia kufanyika kesho ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme.
Ili kujua zaidi kuhusu mmea w BEET ROOT Tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=SnzdA_fqNy8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.