ilioni 1.5 zimejenga shule tatu mpya za sekondari katika Halmashauri ya wilaya ya Tunduru katika kata tatu ambazo ni Kata ya Nakayaya, Kata ya Majimaji na Kata ya lukumbule.
Ujenzi wa shule hizo ulikamilika na kuanza kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza wapatao 500 kwa mwaka huu wa masomo 2023 – 2024.ambazo ni shule ya Sekondari Kungu, shule ya sekondari Majimaji na Shule ya Sekondari Mpakate
Fedha hizo zililetwa kupitia mradi wa uboreshaji wa elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika wilaya ya Tunduru ,aidha wananfunzi wanufaika wa miundombinu hiyo wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya elimu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.