Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli imetoa jumla ya shilingi bilioni tatu kutekeleza mradi wa jengo la Halmashauri ambalo limeanza kutumika.Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Shafi Mpenda amesema mradi huo umekamilika pamoja na ununuzi wa samani kwa watumishi wote.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=ZI0yvmdE9V4
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.