Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 51.2 kutekeleza Miradi 35 ya maji .
Amesema miradi hiyo inayosimamiwa na RUWASA inaendelea kuhudumia zaidi ya wananchi 264,000 na vijiji 81 ambao
wanapata huduma ya maji safi na salama.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Kiwango cha upatikanaji maji mijini imefikia asilimia 80.95 na vijijini imefikia asilimia 68
Kuongezeka wa idadi ya watumiaji maji mkoani Ruvuma imesaidia kupunguza magonjwa ya mlipuko katika jamii ikiwemo Kipindupindu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.