• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

BILIONI 764 kuunganisha barabara ya lami Mkoa wa Ruvuma na Morogoro

Imewekwa kuanzia tarehe: July 31st, 2023

JUMLA ya shilingi bilioni 764 zinatarajia kutumika katika kutekeleza ujenzi wa barabara itakayounganisha Mkoa wa Ruvuma na Mkoa wa Morogoro.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mlilayoyo wilayani Namtumbo  amesema ujenzi wa barabara hiyo unaanzia Kijiji cha Lumecha,Kitanda na Londo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma na Kwenda Kilosa kwa Mpepo,Malinyi,Ntivira,Lupilo,Ifakara hadi Mikumi mkoani Morogoro.

Amesema Mkandarasi wa barabara hiyo alishapatikana na fedha zitakazotumika kutekeleza ujenzi wa barabara hiyo zinafahamika na kwamba mkataba umeshasainiwa na ujenzi unaanza wakati wowote.

Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mheshimiwa Kigoma Malima

Akizungumzia barabara ya Mtwara pachani wilayani Namtumbo yenye urefu wa kilometa 300 inayopita vijiji vya Ligera, Lingusenguse,Lusewa hadi Tunduru ,Naibu Waziri amesema usanifu umekamilika na kwamba maeneo yote korofi yatawekewa lami nyepesi na zege  kuwezesha magari kupita mwaka mzima.

Hata hivyo amesema serikali ina mpango wa kufanya usanifu wa kina ili barabara hiyo iweze kujengwa katika kiwango cha lami ambapo amesisitiza kuwa barabara hizo zipo kwenye Ilani ya CCM ya 2020 hadi 2025 hivyo Ilani inaendelea kutekelezwa hatua kwa hatua.

Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa nchini ambayo wilaya zake zote zimeunganishwa kwa lami na hivi sasa kazi ya kuunganisha kwa lami ndani ya wilaya inaendelea kutekelezwa na serikali.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.