SERIKALI ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 9.9 kutekeleza ujenzi wa daraja la Ruhuhu linalounganisha Mkoa wa Ruvuma na Njombe kupitia Mto Ruhuhu unaomwaga maji yake ziwa Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.