SERIKALI imetoa shilingi bilioni 9.9 kutekeleza mradi wa daraja la mto Ruhuhu unaomwaga maji yake ziwa Nyasa mkoani Ruvuma.Daraja hilo lenye urefu wa meta 98 linaunganisha mkoa wa Ruvuma kupitia Wilaya ya Nyasa na Mkoa wa Njombe kupitia Wilaya ya Ludewa.Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Ruvuma imekagua mradi huo na kuridhishwa na kazi iliyofanywa na serikali kuondoa kero ya muda mrefu am,bayo imekuwa inaleta athari kwa wananchi ikiwemo ,kusababisha vifo na kupoteza rasilimali za wananchi wakati wa kuvuka mto huo kutumia mtumbwi.
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=iv2x2IxsLG8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.