• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

BILIONI kumi kujenga ghorofa tatu za kituo Jumuishi cha Mahakama Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: June 6th, 2024

SERIKALI imetenga shilingi bilioni kumi kujenga jengo la ghorofa tatu la Kituo Jumuishi cha kutoa huduma za mahakama  eneo la  Msamala Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.

Mwakilishi wa Mkandarasi anayetekeleza mradi huo Mhandisi Godfrey Mgwasa amesema mradi huo  wa kituo Jumuishi cha mahakama,ukikamilika utakuwa na majengo manne ambayo yatakuwa na mahakama zote na kwamba jengo hilo litakuwa la kisasa lenye lift mbili.

Amelitaja jengo  hilo pia litakuwa litatoa huduma kwa watu wote ambao sio watumishi wa mahakama na kwamba jengo hilo pia litakuwa na mashine za kutolea fedha (ATMs) ili kurahisisha huduma kwa wananchi.

Hata hivyo amebainisha kuwa Mkandarasi alikabidhiwa mradi huo Desemba 2023 ambapo mradi unatarajia kukamilika Septemba 2024 na kwamba hadi sasa utekelezaji wa mradi huo umefikia asilimia 15,Mhandisi Mgwasa amekiri utekelezaji wa mradi upo nyuma sana.

Akizungumza baada ya kukagua mradi huo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed  ameyataja madhumuni ya kuanzishwa kwa mradi wa ujenzi wa vituo Jumuishi vya kutoa huduma za za kimahakama katika eneo moja.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa hajafurahishwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi huo ambapo amemuagiza Mkandarasi kuongeza nguvu kazi na vifaa ili mradi huo uweze kukamilika kwa wakati.

"Ili kuhakikisha mradi huo unatekelezwa mnatakiwa kufanya kazi usiku na mchana kwa kuwa hapa mna kila kitu ukiwemo upatikanaji wa umeme,pia inatakiwa mnunue vifaa vya kutosha zikiwemo kokoto na vifaa vingine ambavyo vinaweza kutumika kwenye ujenzi’’,alisisitiza.

 Mwaka 2023 Serikali ilisaini mikataba na kampuni nne yenye thamani ya Shilingi bilioni 49 kwa lengo la kujenga vituo sita jumuishi vya kutoa huduma za mahakama katika mikoa ya Njombe, Katavi, Geita, Simiyu, Ruvuma,na Songwe.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.