Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 7.2 kupitia BOOST kujenga shule mpya za Msingi 12.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema umefanyika pia ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule za Msingi 44 hali ambayo imeboresha miundombinu ya elimu katika shule hizo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.