Pichani kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya kwenye eneo la Bandari mjini Mbambabay Wilaya ya Nyasa.
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 70 kuanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa bandari ya Mbambabay katika ziwa Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.