Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Kanda ya Kusini Mashariki, imeendesha semina ya wadau wa takwimu za kiuchumi katika Mkoa wa Ruvuma, Semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Songea (HOMSO), lengo ni kuwaelimisha, kubadilishana mawazo na kuwakumbusha wadau kuhusu takwimu za kiuchumi na umuhimu wake katika maendeleo ya mkoa na Taifa kwa ujumla.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.