Bwawa lililopo katika kijiji cha Ifinga Kata ya Matumbi Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma limegeuka kivutio cha utalii ambapo wakazi wengi wa Ifinga watembelea bwawa hilo kufanya utalii wa kuvua samaki na kufurahia hewa nzuri inayopatikana kwenye bwawa hilo lililogunduliwa na wakoloni wa Kijerumani ambao walilipa jina la Beata
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.