BWAWA LA VIBOKO NAMTUMBO KIVUTIO CHA UTALII
Mkoa wa Ruvuma umebahatika kuwa na vivutio vya aina mbalimbali vya utalii likiwemo bwawa la asili la viboko la Kaunde katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ambalo lina viboko wengi ambao wamekuwa kivutio kikubwa cha utalii.
Wilaya ya Namtumbo imebarikiwa kuwa na vivutio vya utalii ambavyo bado havijatangazwa kikamilifu na kufahamika ili kuvutia watalii na wawekezaji ambao wanaweza kuchangia maendeleo katika sekta ya utalii mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.