Chama Cha Mapinduzi Mkoa CCM Mkoa wa Ruvuma kimeunga mkono kwa vitendo jitihada za serikali za Serikali ya Awamu ya Tano ya kupambana na virusi hatari vya Corona baada ya kutoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni tatu.Vifaa hivyo vimekabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme na Mwenyekiti wa Chama Cja Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho katika Hafla ambayo imefanyika katika Ofisi za CCM Mkoa mjini Songea .TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=KojPDjpOjl0
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.