Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Ndugu Mary Chatanda amewataka wazazi kupunguza ukali kwa watoto kwani hali imebadilika kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ukatili kwa watoto ikiwamo vya ubakaji na ulawiti
Hayo ameyasema wakati alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma akiwa kwenye ziara ya siku moja aikitokea mkoani Njombe, hivyo amewataka wazazi na walezi kupunguza ukali kwa watoto na kujenga mazoea ya kuzungumza nao kama marafiki ili kupunguza vitendo hivyo kwa kundi hilo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.