NAIBU Waziri wa Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii Dr.Godwin Mollel pichani wa pili kutoka kulia Oktoba 22,2023 amezindua chuo cha mafunzo ya afya cha Litembo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
Chuo hicho kinachomilikiwa na Kanisa katoliki Jimbo la Mbinga kinatoa kozi zaStashahada ya Uuguzi,Stashahada ya Utabibu na Stashahada ya Maabara
Pichani wa kwanza kulia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Mbinga Mhashamu John NDIMBO
Naibu Waziri Mollel amemwakilisha Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango kwenye uzinduzi wa chuo hicho
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.