Nandembo ni Chuo cha Maendeleo ya wananchi kilichopo wilayani Tunduru mkoani Ruvuma.Chuo hicho ambacho kilianzishwa miaka ya 70 kitoa kozi mbalimbali kwa vijana kuanzia elimu ya msingi hadi chuo kikuu ambapo hadi sasa vijana wengi wamepata ujuzi kupitia chuo hiki.Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=G-H3_MQY3gw&t=70s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.