Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta Nyasa, Ukiwa Umekamilika. Kukamilika Kwa chuo hiki Wakazi wa Wilaya ya Nyasa watajipatia Ufundi Stadi na kuweza kujiajiri katika fani mbalimbali kama Umeme, Ushonaji, Umeme, Ufundi magari, Uashi nk.Serikali Imetoa Shilingi Bilioni 2.187 kwa ajili ya Ujenzi huu.Tunakupongeza Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw Jimson Mhagama kwa kusimamia na kumalisha ujenzi wa Chuo hiki.

Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.