DARAJA la Libango katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma ambapo serikali imetoa shilingi milioni 900 kujenga daraja hili ambalo linalounganisha mji wa Namtumbo na vijiji vya Libango na Mianzini ambavyo ni miongoni mwa vijiji vinavyozalisha mazao ya chakula kwa wingi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.