Serikali inatarajia kubomoa daraja la Mkenda wilayani Songea mkoani Ruvuma lenye urefu wa meta 98 linalounganisha nchi ya Tanzania na Msumbiji na kujenga daraja jipya kubwa lenye urefu wa meta 144
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa amesema serikali itajenga daraja hilo lenye uwezo wa kupitisha magari makubwa sanjari na kuanza ujenzi wa barabara ya lami kilometa 60 kutoka Likuyufusi hadi Mkayukayu wilayani Songea .
Barabara ya Likuyufusi hadi Mkenda mpakani mwa Tanzania na Msumbiji ina urefu wa kilometa 124 ambapo fedha za kujenga kilometa 60 kwa kiwango cha lami imeshatolewa na mkataba wa Ujenzi unatarajiwa kusainiwa wakati wowote kuanzia sasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.