Muonekano wa daraja la Mto Ruhuhu linalounganisha Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ambapo serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni nane kutekeleza mradi huu ambao umekamilika kwa asilimia 100 hivyo kumaliza kero ya muda mrefu ya wananchi kuvuka mto Ruhuhu ambao walivuka Mto kwa kutumia mitumbwi ambayo ilisababisha baadhi ya watu kupoteza maisha baada ya mtumbwi kupinduka
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.