Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mheshimiwa Ngollo Malenya amezindua tamasha la Namtumbo Kehenge leo Septemba 21 katika ukumbi wa St. Agess uliyopo wilayani umo ambapo uzinduzi huo umeenda sambamba na kongamano ambalo imejadili kuhusu fursa za uwekezaji zilizopo wilayani Namtumbo pia na kuudhuliwa na Viongozi mbalimbali, Wadau pamoja na Wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.