Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Mheshimiwa Ngollo Malenya ameendelea na ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi wake,hapa anazungumza na wananchi wa Mtaa wa Bomani Kata ya Rwinga pamoja na mambo mengine amepiga marufuku kuchangisha michango kwa wananchi bila kibali maalum kutoka ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.