MKUU wa Wilaya ya Namtumbo Mheshimiwa Ngollo Malenya amewaasa wananchi wa Namtumbo kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha la fursa za utalii linalotarajia kufanyika kwa siku mbili kuanzia Septemba 22 hadi 23
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji Cha Mhangazi, Nambecha, Mchomoro ,Songambele pamoja na mamlaka ya mji mdogo wa Namtumbo mkuu wa wilaya hiyo Ngollo Malenya amewataka wananchi wa wilaya ya Namtumbo kushiriki Kwa wingi tamasha Hilo.
Tamasha Hilo ni letu ,wananchi wa Namtumbo ni vyema tukajitokeza Kwa wingi kushiriki tamasha Hilo Kwa kuwa linalengo jema la kuwavutia wawekezaji katika sekta ya kilimo, madini pamoja na kuwavutia watalii kuja kutalii katika hifadhi ya taifa ya mwalimu Julius Nyerere iliyopo Namtumbo.
Malenya aliwaambia wananchi hao kuwa tamasha Hilo litafanyika tarehe 22 na 23 mwezi huu wa 9 ,2023 katika mamlaka ya mji mdogo wa Namtumbo
Hata hivyo Malenya alidai katika Tamasha Hilo kutakuwa na mbio za baiskeli za milimani ,kutakuwa na riadha pamoja na utalii katika hifadhi ya taifa ya mwalimu Nyerere.

Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.