MKuu wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Mheshimiwa Filberto Sanga akiwa na kamati ya Usalama Wilaya ya Nyasa, na Mkurugenzi Mtendaji wilayani hapa Bw. Khalid Khalif na wakuu wa Divisheni na Vitengo wakikagua miradi katika Kituo Cha Afya Kingerikiti na Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.
Akizungumza baada ya kukagua miradi hiyo,Mkuu wa Wilaya ya Nyasa ameagiza hadi kufikia Septemba 30 miradi yote iwe imekamilika
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.