Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Madaba kusimamia fedha zinazotolewa na serikali kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya wananchi.Ametoa agizo hilo wakati anazungumza kwenye kikao cha Baraza la madiwani Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea kilichofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo mjini Madaba.Mgema amesisitiza miradi itekelezwe kwa viwango vinavyolingana na fedha iliyotolewa na kwamba miradi ikamilike kwa wakati.
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=iZg8VmKUl5g
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.