Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Wakili Julius Mtatiro amewaagiza watendaji na Baraza la madiwani kuhakikisha wanasimamia miradi kikamilifu miradi yote ya maendeleo ili iweze kukamilka kwa wakati.
Alikuwa anazungumza wakati anatoa salamu za serikali kwenye Kikao cha Baraza la madiwani la robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kilichofanyika katika ukumbi wa klasta mjini Tunduru.
Wakili Mtatiro pia amekemea ufugaji holela ambao ameagiza kukomeshwa kwa kuwa ardhi ya Wilayani Tunduru ni kwa ajili ya kilimo ns sio ufugaji holela unasababisha uharibifu wa mazingira na kuzorotesha uzalishaji wa mazao.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.