Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Joseph Kashushura amekutana na kuzungumza na wazabuni mbalimbali wanaofanya kazi na ofisi yake katika kutekeleza shughuli mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Lengo la mazungumzo hayo ni kufahamiana pamoja na kujadili changamoto changamoto mbalimbali baina ya pande hizo mbili na kuweka mikakati ya kuimarisha ushirikiano utakao rahisisha utekelezaji wa shuughuli mbalimbali zinazofanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga katika kuleta maendeleo endelevu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.