Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Ndg. Juma Haji Juma amezungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga lengo likiwa ni kupokea changamoto mbalimbali kutoka kwa watumishi hao na kuzitafutia ufumbuzi changamoto hizo ili kuendelea kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.