Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akizungumza na wanafunzi wa kidato cha Tano katika shule ya sekondari ya wasichana ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.
Dkt Msonde yupo mkoani Ruvuma katika ziara ya kikazi ya siku tatu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.