Pichani wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akizungumza na baadhi ya watumishi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa sekondari ya Dkt Lawrence Gama iliyopo katika Kata ya Msamala ambapo serikali imetoa shilingi milioni 560 kupitia SEQUIP kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.